Mchezaji Gani Unatamani Dirisha Dogo Klabu Unayoishabikia Iachane Nae?

Lukman Ali

Mgeni
May 17, 2024
7
3
5
Kocha ndie anaewajuwa wachezaji wake sisi mashabiki ni bendera tuu tunafuata upepo timu ikishinda hakuna lawama kwa wachezaji lkn timu ikifungwa atafutwa MCHEZAJI abebeshwe lawama hii kitu kama mashabiki tunakosea
 

ihsan

Mpiga Chabo
Oct 14, 2024
4
0
0
20
Katavi
Mambo vipi mwana Kijiweni? Si tumeshuhudia mechi kadhaa za ligi kuu ya NBC? sawa sasa huwa kuna maneno mengi sana kuhusu wachezaji na viwango vyao

Ukipata nafasi ya kuzungumza na kocha wa timu unayoshabikia, Mchezaji Gani Unatamani Dirisha Dogo Klabu Unayoishabikia Iachane Nae?
Mutale