Mechi Gani Ya Ligi Kuu Ya NBC Kwa Mwaka 2024 Unadhani Ilikua Mechi Bora Sana Kuitazama? Na Kwanini?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
467
622
125
Zipo mechi nyingi ambazo zikichezwa za Ligi Kuu ya NBC kwa mwaka 2024 za Kufunga Msimu na hata za kufungua msimu ambao tunaendelea nao mpaka sasa

Mechi Gani Ya Ligi Kuu Ya NBC Kwa Mwaka 2024 Unadhani Ilikua Mechi Bora Sana Kuitazama? Na Kwanini?
 
kinanda koza

Mpiga Chabo
Dec 16, 2024
3
0
0
Zipo mechi nyingi ambazo zikichezwa za Ligi Kuu ya NBC kwa mwaka 2024 za Kufunga Msimu na hata za kufungua msimu ambao tunaendelea nao mpaka sasa

Mechi Gani Ya Ligi Kuu Ya NBC Kwa Mwaka 2024 Unadhani Ilikua Mechi Bora Sana Kuitazama? Na Kwanini?
Kwangu mie ni match ya Tabora na Young Afrika. Ni kwa sababu hii mechi ilivutia kuitazama na huwa inavutia zaidi mkubwa kupigwa na mdogo
 
Muddy Nakua

Mpiga Chabo
Aug 15, 2024
7
0
0
Zipo mechi nyingi ambazo zikichezwa za Ligi Kuu ya NBC kwa mwaka 2024 za Kufunga Msimu na hata za kufungua msimu ambao tunaendelea nao mpaka sasa

Mechi Gani Ya Ligi Kuu Ya NBC Kwa Mwaka 2024 Unadhani Ilikua Mechi Bora Sana Kuitazama? Na Kwanini?
Yanga v/s black star
 
VOA

Mpiga Chabo
Dec 20, 2024
1
0
0
Uzuri wa mechi ni magori tena ya (mtani wa jadi yanga na tabora)
Mechi ya pili simba na wazee wa mapigo na mwendo