Mechi Ya Yanga dhidi ya Rhino Rangers mliionaje?

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
For me Easy game kwa Yanga, Nabi katumia ile game kuwapa match fitness baadhi ya players kama Aziz Ki,Musonda na Bryson.

Yanga walikuwa wakubwa sana kwa Rhino..1st half hawakua na hata shot 1. na walisharuhusu goli 5

Kuanzia hatua hii inayofuata ndio tunaweza sema tupime ukubwa wa kikosi cha Yanga.

But as far as it stands Yanga inaweza field kikosi chochote uwanjani na kupata matokeo

Mfano so far tumeona kikosi kinachocheza ligi kuu, kuna kingine kimecheza Mapinduzi, na hiki kinachocheza Shirikisho

1675063294643.png
 

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Nimependa sana namna kocha alivyo panga kikosi, yani ata tukicheza na timu ya Mtaani tunaomba kocha aweke full mziki hakuna kudharau mechi wachezaji wamesajiliwa ili kuja kucheza na sio kukaa njee, ata tuchezee na wale Wazee wa Madunduka weka full mzik