Mechi za Leo ligi kuu

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Saa 10:00 katika uwanja wa Nyankumba Geita Gold kukipiga na Ihefu, Je Geita watatoboa leo?? Na Ihefu bado anajitafuta kutoka kwenye nafasi za chini kujaa juu game lazima iwe ya moto…. Nini maoni yako?

612CA2C7-88BB-4402-8E8B-2896F0264574.jpeg
 
  • Like
Reactions: adam