2017 Wakati Memphis Depay Anaondoka Man Utd Alimuambia Aliekua Kocha Wa United Kwa Wakati Huo Jose Mourinho Kuwa Anaenda Kuwa Prove Wrong Na Atakuwa Mchezaj Mkubwa, Mourinho Alimjibu “Naamini Katika Hilo Na Ipo Siku Nitakurudisha".
Na Baada Ya Miaka Karibu 7 Imepita Dirisha Hili Dogo La January Memphis Depay Yupo Mbioni Kujiunga Na As Roma Na Ahadi Zinakwenda Kutumia Kama Dili Litatiki..!
Na Baada Ya Miaka Karibu 7 Imepita Dirisha Hili Dogo La January Memphis Depay Yupo Mbioni Kujiunga Na As Roma Na Ahadi Zinakwenda Kutumia Kama Dili Litatiki..!