Messi anaenda kuweka Record yake ya kwanza Kombe la Dunia katika mchuano dhidi ya Croatia

Joan

Mgeni
Dec 13, 2022
24
12
5
Mnakumbuka kipindi kile Pele aliweka Record ya kutupia Hat-trick kwenye mchezo wa nusu fainali na baadae kuweka mawili final? basi leo inawezekana ikawekwa Historia nyingine na Mwamba huyu Messi "THE GOAT" , anaenda kuishangaza dunia leo. Kila la Kheri wamba wa Argentina ce76c085-86ba-4755-b413-c4b5ed860ddf.jpeg