Miaka 90 Ya Yanga SC | Mwananchi Wa KIJIWENI Kitu Gani Kilikufanya Ukanipenda Na Kuishabikia Yanga?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
545
711
125
Tarehe 11/02/1935 klabu ya Wananchi Kutoka mitaa ya Twiga na Jangwani Yanga Ilianzishwa.

Leo Tarehe 11/02/2025 imetimiza miaka 90 Toka kuanzishwa kwake

Kwa WANANCHI Wa Kijiweni kitu Gani kilikufanya ukanipenda na kuishabikia Yanga?
 

cosmas123

Mpiga Chabo
Feb 11, 2025
1
0
0
Nilipenda kushabikia yanga kutoka na the way sajili zao zilinivutia pia kiualisia napenda jezi zao na pia mifumo yao yakiuongozi inavoenda pia malengo ya klabu pamoja kuwa ni miongoni mwa klabu zenye mashabiki wengi africa pamoja na sehemu zingine duniani i love you yangaaaa🐸💚💛
 

pendoabel

Mpiga Chabo
Feb 11, 2025
1
0
0
Hata nikiwa na stress jaman nikikumbuka tu ni shabiki wa yanga furaha tele inanijaa jaman sijutii hata💚💚💛💛🟡🟡🟢🟢na mtu alienishawishi kushabikia yanga ni my Dady since am dady's daughter 💚💚💛💛halafu pia ni timu ambayo inaongoza sana
 
Last edited:

Jackson riziki

Mpiga Chabo
Feb 11, 2025
1
0
0
Niliipend dar young African kwasabab ni timu ambayo inagawa vipigo Sana kwa mtani wake makolo fc na pia ni team yenye malengo makubwa east Africa na kati