Miss Croatia ambaye amekuwa gumzo kwenye kombe la Dunia Qatar kutokana na mavazi yake kiasi cha kukamatwa na askari na kutolewa uwanjani amefunguka....
"Nilikasirika kwa sababu mimi si Muislamu, na kama sisi huko Ulaya tunaheshimu HIJABU na NIQÃB, nadhani lazima pia waheshimu njia yetu ya maisha, dini yetu"
Ivana Knöll