Acha kutulisha matango pori mzee io n wa nyumban aongoze vpnd vyote kama ukisema hivyo na hii ya 1/x inamaana gan mzeeWote mnakosea 1/1 inamaana kwamba kipindi cha kwanza ashinde wa nyumbani na mpira kuisha awe ameshinda mean anaweza shinda kipind cha kwanza goli 1 na cha pili wakasare bado ukawa umeshinda.