Mkeka Wa Leo Jumamosi 10/08/2024 Mechi 5 Za Over 1.5 Pekee

Emmanuel

Mgeni
Apr 19, 2024
8
3
5
HABARI YAKO KIONGOZI
Hapo sasa sawa yaan kiongozi ushauri wangu kama shabiki wa kijiweni mzee wa chabo, leo haijalishi tutashinda au kuchanika kwa mkeka, lkn IDADI YA TEAM ulizoweka standard kabisa sio mkeka unakuwa na team 19.
Fanya hivi kila cku ikitokea umezidisha mwisho 7 lkn weka jamvi la team 5 tu kiongozi.
 
Alexkapinga

Mgeni
Aug 10, 2024
5
1

Hy sahh kama mkuu