Kikosi cha Simba SC, kimetua jijini Tanga kuifuata Coastal Union kwenye mchezo wa NBC Premier League kesho Jumamosi Disemba 3, 2022.
Mechi hiyo itachezwa saa 10:00 jioni
Wakuu mnaonaje hii mechi? au ndo tuseme ni ndugu??

Mechi hiyo itachezwa saa 10:00 jioni
Wakuu mnaonaje hii mechi? au ndo tuseme ni ndugu??