Mpira umechezwa na timu zote kwa ari na hali ya juu sana.

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Mpira umechezwa na timu zote kwa na hali ya juu sana.

Mchezo huu ulidhihirisha kuwa ni mechi ya derby hasa kwa ushindani uliokuwepo pamoja na ubora wa mchezo huo.

Simba Vs Azam ni moja ya mechi ya derby za Dar Es Salaam, ambazo zinavutia sana kuangalia, achilia mbali mbali matokeo yake kuwa yatakufurahisha au yasikufurahishe.

Shida sio kocha ni wachezaji mtafukuza kila siku makocha lakini ukweli usemwe hatuna wachezaji wenye viwango wengi ni goigoi wengi vipolo wengi wazee igeni mfano wa Raja nowadays mpira ni wa vijana sajilini wachezaji wenye viwango muone kama Robertinyo hajafanya vizuri!!

Naomba mniulizie kwa kocha kwani Phiri ana tatizo gani hadi achezi na bocco ana ubora gani hadi anaanza???mchezaji mwenye goli 10 unamuacha nje kweliiiiiiiii...Nyie hamtutakii mema mashabiki na ipo siku mtaingia uwanjani peke yenu hakuna shabiki atakayekuja kuwasapoti
 

Zawadi

Mgeni
Nov 4, 2022
41
17
5
Simba hii ni ya kumchezesha boko kweli !boko ameonyesha anamapungufu mengi mno analazimisha kucheza mpira lakini mpira wenyewe unamkataa,kocha na benchi la ufundi linaudhaifu mkubwa , hakuna na umuhimu wa kumleta kocha wakati mgunda anasifa zote ,tuliacha kusaji wachezaji wazuri
 

Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26
5
nilikuwa namhurumia tu Kocha,angepoteza tena sijui ingekuwaje Msimbazi,Makosa bado mengi midfield na strikers,umakini upo chini sana,Kipa mrefu utamfungaje kwa mipira ya juu,Hebu wapelekeni Wachezaji Kambi ya JKT Ruvu mazoezi