Mwana Kijiweni Mpaka Sasa Usajili Unakupa Picha Gani Kuelekea Kwenye Msimu Mpya 2024\2025

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu nyingi zikiendelea na maandalizi yao kwa ajili ya kupambana kwa msimu ujao. Mpaka sasa usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025
 
  • Like
Reactions: Dat’s_Shaffh

mtulo

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
1
0
0
Kila timu imejipanga nankisajili kadr ya hitajii la timu liginl ikiaaza Kila timu itajuaa mahali Gani panamapungufu
 

SHEMA

Mgeni
Jul 9, 2024
3
2
5
Usajili huu unaonesha kwamba ligi yetu imekua Kwa asilimia 85 ni zaid ya miaka nyuma sasa kila timu inasajili kiufundi zaid na Kwa gharama kubwa kutoka kuchukua wachezaji mataifa mengine kuleta ushindani
 

Dat’s_Shaffh

Mpiga Chabo
Jul 9, 2024
1
0
0
kumjua bingwa moja kwa moja kwakweli ni ngumu sababu kila timu imesajiri na bado atujaona ata practice ya usajil tusubil mechi tano za mwanzo
 
Jun 11, 2024
5
1
5
Picha ya usajili ni nzuri raundi hii SHIRIKISHOπŸ†lipo TZ ,FAπŸ† lipo msimbazi,NBCπŸ† lipo msimbazi, NGAOπŸ† ipo msimbazi, MAPINDUZIπŸ† lipo msimbazi, MUUNGANOπŸ† lipo pale msimbazi na mengine mengiπŸ†πŸ†β€οΈπŸ¦πŸ¦
Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu nyingi zikiendelea na maandalizi yao kwa ajili ya kupambana kwa msimu ujao. Mpaka sasa usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025