Leo klabu ya Yanga inacheza Mchezo wa kwanza wa Hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vital'O Mchezo ambao kikanuni Yanga atakua Ugenini ila kimazingira akiwa Nyumbani kwani Itachezwa katika uwanja wa Azam Complex CHAMAZI
Kila mtu si ananifahamu Vyema Timu yake? Basi Mwananchi hebu panga Kikosi Chako Cha Leo dhidi ya Vital'O FC
Kila mtu si ananifahamu Vyema Timu yake? Basi Mwananchi hebu panga Kikosi Chako Cha Leo dhidi ya Vital'O FC