Leo katika uwanja wa NewAmaan Complex Zanzibar kutakua na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika majira ya saa 2 na nusu usiku ambapo anatafutwa mshindi wa jumla atakayefuzu hatua ya makundi ambapo kutakua na mchezo kati ya Yanga Sc dhidi ya CBE SA.
Najua kila mmoja ana kikosi chake kichwani ambacho anatamani kianze kwenye mchezo wa hii leo basi nafasi ni yako hapa sasa Tuambie ukipata nafasi ya kupanga kikosi na kumtumia Kocha Gamondi ungepanga kikosi gani?
KIKOSI CHAKO KITAKACHOANZA DHIDI YA CBE SA
1:
2:
3:
4:
5:
6:
7:
8:
9:
10:
11:
Usisahau kutuambia pia nani atafunga GOLI leo