Mwananchi Wa Kijiweni Umeipokeaje Kauli Hii Ya Kocha Miguel Gamondi Kuelekea Mechi Dhidi Ya Simba?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
620
125
"Ndio kuna wachezaji wangu muhimu wamepata majeraha, siwezi kuwataja hapa kwani umeuliza pia kwa simba?, hivyo mtawaona kesho."-
Miguel Gamondi wa Yanga.

Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Kitu Kuelekea Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya Simba SC Ungemwambia Nini?
 
Roy Creation

Mgeni
Jun 16, 2024
12
2
5
"Ndio kuna wachezaji wangu muhimu wamepata majeraha, siwezi kuwataja hapa kwani umeuliza pia kwa simba?, hivyo mtawaona kesho."-
Miguel Gamondi wa Yanga.

Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Kitu Kuelekea Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya Simba SC Ungemwambia Nini?
Kwa sisi wananchi tushamzoea Kocha wetu hana maneno mengi anaamini kikosi hapo kuna mtego kwa wasioelewa aidha wachezaji wako injury kweli na anaandaa suprise ya wachezaji ambao hawatarajiwi kuanza lakin pia hizo injury unaweza kuziona zikicheza Inshort kufungwa kupo ila tunaimani na Yanga Yetu
 
  • Like
Reactions: mzawaru amada
Jun 11, 2024
13
5
5
Moral na Umuhimu wa Kisaikolojia: ni muhimu kuwapa wachezaji motisha na imani kwamba wanaweza kushinda, hata bila wachezaji muhimu. Mchezo wa akili ni muhimu sana kwenye michezo mikubwa kama hii.
Na naimani tutachukua point 3 inshallah mbele ya Simba