Leo saa 10 jioni kikosi cha Simba kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahli Tripoli katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika mchezo ambao utaamua hatma ya nani anafuzu hatua ya makundi ya kombe hili . Simba anaingi katika mchezo wa leo akiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya bila kufungana wiki iliyopita nchini Libya.
Mwekundu Wa Kijiweni Panga Kikosi Chako Cha Leo Simba vs Al Ahli Tripoli na tabiri mfungaji au wafungaji wa magoli ya leo.
Mwekundu Wa Kijiweni Panga Kikosi Chako Cha Leo Simba vs Al Ahli Tripoli na tabiri mfungaji au wafungaji wa magoli ya leo.