Mwekundu Wa Kijiweni Umeipokeaje Kauli Hii Ya Kocha Fadlu Davis Wa Simba Kuelekea Mechi Dhidi Ya Yanga

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
620
125
Sisi Simba sio timu ya kwenda kukaa nyuma hiyo sio aina yetu ya namna ya kucheza, sisi tutashambulia na kuutawala mchezo huu ni mchezo ambao mshindi sio tu yule atakayekuwa na mbinu bora bali pia atakayekuwa na wachezaji ambao wako tayari kujitoa kwa nguvu."

Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Kitu Kuelekea Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya Yanga Utamwambia Nini?
 
ghoxt

Mpiga Chabo
Jul 13, 2024
2
0
0
sasa naanzaje kumxhauri fundi wa sokaa yeye anajua anachokisema na anajua n mtego gan kawekaa
 
Oct 9, 2024
32
6
5
Oya huyu hana point me mwananchi nakuja kutamba kijiweni kwenu yani subirini tuje kuwapigia mpira wakikubwa goli mbili uakika dube kambani na max
 
Jun 11, 2024
13
5
5
Mbinu na Umakini wa Kocha Gamondi: Miguel Gamondi ni kocha anayejua kuja na mbinu za kuzuia timu zinazoshambulia sana. Atajipanga kuhakikisha kwamba safu ya ulinzi inafungwa vizuri huku akiweka nguvu katika kutumia nafasi ndogo kuadhibu Simba na mnyama ataadhiniwaaa tuuu inshallah
 
  • Like
Reactions: Daniel_Makala

Niceboe

Mgeni
Sep 11, 2024
3
1
5
Sisi Simba sio timu ya kwenda kukaa nyuma hiyo sio aina yetu ya namna ya kucheza, sisi tutashambulia na kuutawala mchezo huu ni mchezo ambao mshindi sio tu yule atakayekuwa na mbinu bora bali pia atakayekuwa na wachezaji ambao wako tayari kujitoa kwa nguvu."

Ukipata Nafasi Ya Kumshauri Kitu Kuelekea Mchezo Wa Kesho Dhidi Ya Yanga Utamwambia Nini?
Ukisema upishane na kina boka, utafungwa tu .
Naona mvua ya magoli kesho 🤗
 
  • Like
Reactions: Daniel_Makala