Tarehe 03 ya mwezi wa kumi na mbili mwaka 2019 aliewahi kuwa Kocha wa Klabu ya Simba Patrick Aussems kusema kuwa "Ili Klabu ya Simba iweze kukua kimaendeleo kama TAASISI inatakiwa kuondoa watu waongowaongo wasio na elimu kwenye Bodi ya Klabu" Unajua kwanini nimeanza na kauli hii ya Patrick Aussems?
Niseme tu kuwa Viongozi Aina Ya Magori Pale Simba Ni Tatizo La Kwanza Kwenye Management, Wanazo Akili Za Kizamani Na Mambo Ya Kizamani!
Niliwai kusema ya kuwa Simba inaongozwa na wazee ambao Awana Tena ubunifu wa kuipeleka timu mbele bali wamebakia na mawazo ya kizamani na akili za kizamani awabadiliki kulingana na wakati bali wamekwamia hapo walipo Awana vision yoyote ya kuivusha Simba!
Viongozi awa wamekuwa wakicheza sana na akili za wanachama na mashabiki wao ili kulinda vibarua vyao pindi wanapoona mambo ayaendi, wamekuwa wakiwatoa mbuzi wa kafara wenzao na wao kujifanya sio Wenye matatizo kwenye uongozi wao!
Kauli zile za magori alizozitweet kwenye mtandao akiwalaumu marefa, kipa wao camarra, na Azam tv ni kiashiria tosha kinachoonyesha ombwe la uongozi lililopo pale Simba!
Viongozi mwenye hekima na busara uwezi kutoa kauli kama zile wazi wazi vile Tena ukimsimanga mchezaji wako hadharani kwamba Kuna viashiria kauza mechi ni utahaira wa viwango vya lami!!
Viongozi Hawa wameshajua pona pona yao ni kuwatupia wenzao mizigo ya lawama ili wao waendelee kuwa safe kwenye nafasi zao, Kila mechi wanakuja na malalamiko mapya wakifungwa awaangalii ubora wa wenzao, wanawajaza mashabiki wao maneno kwamba Wana kikosi Bora cha kushindana na yanga matokeo yake wakijua uwanjani wakakuta vitu tofauti na wao wanaanza kutafuta visababu vya ovyo ovyo waonekane wameonewa!
Ukirudi kwenye takwimu maana Mpira ni namba na sayansi ungeshindwa kuona ni wapi Simba angetokea kumfunga yanga na kupata ushindi, Kila eneo yanga ni Bora kuliko Simba kimbinu na kiufundi, lakini Hawa viongozi wanawaaminisha watu wao kwamba tiyali wako na timu Bora kama yanga uko ni kujidanganya!
Uwezi kukosa ubora wa wachezaji na kikosi kizima alafu ukategemea kupata ushindi kwa kutegemea nguvu na maelekezo ya waganga wa kienyeji ukatoboa ni ngumu!
Angalia Simba kikosi chao cha kwanza kikifanyiwa sub tu ya mchezaji Mmoja wanapoteana mazima, angalia wenzao yanga akitoka mtu anayeingia anauwasha kama aliyetoka, akuna tofauti ya viwango vya waliopo benchi na wanaonza.
Kocha wa Simba jana aliamua kumuanzisha kagoma na hamza ambao awakuwa fiti na match fitness awakuwa nayo kutokana na kuona waliokuwepo fit Awana ubora kama hao matokeo yake awakumaliza ata dk 90 wakapata Tena maumivu na kutolewa!
Iyo kitu inaashiria Simba wanacho kikosi kifinyu cha kutegemea baadhi ya wachezaji wasipokuwepo wanakuwa na hali mbaya!
Sasa iyo timu ndiyo inakuwa inategemea kupata matokeo mbele ya yanga yenye kikosi kipana na quality ya wachezaji Kila idara ni vichekesho kabisa!
Tumeona alitoka Aziz ki, pacome na dube lakini walipoingia chama, musonda na mzize ikawa mafuriko ya hatari kwa Simba!
Wao sub yao ikawa okejepha, barua na kijiri kilichotokea Kila mtu aliona!
Sasa bwana magori na wenzake wasipobadilika wataendelea kuitumbukiza iyo timu shimoni wanasajiri cheap labour alafu wanategemea wawape matokeo the same na wenzao iyo kitu aipo na aitokuwepo! Uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mchicha!