Namungo vs Yanga | Panga Kikosi Na Tabiri Matokeo Ya Mwisho Yatakuwaje Leo

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
470
626
125
Hii Leo katika uwanja wa Majaliwa hapa Ruangwa ni Mchezo Wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Namungo dhidi ya Yanga SC

Panga Kikosi Na Tabiri Matokeo Ya Mwisho Yatakuwaje Leo Hapa
 

Gittu A

Mgeni
Nov 7, 2024
6
1
5
1.Diara
2.Yao yao
3.Kibabage
4. Job
5.Bacca
6. Sure boy
7. Pacome
8. Mudathir
9. Mzize
10. Chama
11. Nzengeli

Hapa ni ushindi tu