Nani Atolewe Kwa Mkopo Kwenye Timu Unayoishabikia?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
468
623
125
Tunaelekea dirisha dogo la usajili ambapo ni nafasi ya timu mbalimbali kufanya marekebisho katika tmu zao kwa kununua wachezaji wapya na kupunguza waliopo au kuboresha eneo ambalo wameona lina changamoto pekee

UKIPATA nafasi ya Kupendekeza jina la mchezaji Wa timu unayoishabikia ambaye ungetamani aende Kwa Mkopo Timu nyingine ungempendekeza nani?
 
Dec 10, 2024
1
1
5

Ayoud Lacred apewe tu nafasi akacheze timu nyingine aonyeshe kiwango chake, pale Simba Kwa sasa hata kwenye golikipa namba mbili hayupo
 
  • Like
Reactions: Kijiweni