Sio Lazima,Lakini Binafsi Naamin Kutwaa Ubingwa Wa Dunia Ndio Kwamba Tunahitimisha Mjadala Wa Nani Mchezaji Bora Kati Ya Messi Na Ronaldo,Tena Ule Ushindani Wa Yupi Anastahili Kuitwa Goat.(Great Of All Time).
Messi Na Ronaldo Kila Mmoja Amefanya Maajabu Kwenye Ulimwengu Huu Wa Mpira,Kuna Yale Ambayo Messi Ameshafanya Na Ronaldo Amefanya Ila Messi Hajafanya/Hajaweza Kuyapata.
Kila Mmoja Kuna Kile Alichobakipenda Kwa Mmoja Na Kuna Kile Ambacho Hakukipenda Kwa Mwingine Na Huwezi Kuyabadili Mapenzi Yake Kwa Huyo Mtu.
Ambayo Wamefanya Mpaka Sasa Wanastahili Heshima Kubwa Na Kwangu Mimi Hawa Tayari Ni Magwiji Wa Mpira Bila Kujali Mafanikio Ya Kombe La Dunia Ambalo Hutokea Kwa Mechi Saba Tu.Wameweka Rekodi Na Kuvunja Rekkdi Mbali Mbali Ambazo Hazikuwahi Kufikiwa Na Kuwekwa Kabla Yao.
Lakini Pia Kuna Watu Maarufu Na Magwiji Wenye Heshima Kubwa Duniani Wamegawanyika Kwenye Mapenzi Yao Juu Ya Kila Mchezaj Kati Ya Hao Wawili,Unadhani Kwamba Na Wao Hawana Akili..?Ni Sawa Na Huku Kwetu Mtu Kuipenda Simba Au Yanga Hauwezi Ukasema Hana Akili Hapana.
Msifie Messi Au Ronaldo Ila Usimdharau Mmoja Wapo Kati Yao Lakini Vile Vile Usiwadharau Mashabiki Wa Mmoja Wa Hao Wawili.Onesha Heshima Kwa Unayemkubali Ila Usioneshe Dharau Ingawa Sio Lazima Ila Huu Ni Mpira Ni Mchezo Wa Kiungwana..!