Naona kama Bissaka kaamua kuuwash moto hivi au mnaonaje?

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Kwenye mfumo wa kuzuhia bissaka yupo vizur nais atakua ameshajifunza kutokana na makosa
Makosa yapi....

Bro si umeona kina Perisic,Trippier,Walker,Arnold,juranovic na wengine kibao wanavyocheza


Af Kaka Chid unakuja kwel kunambia kwenye mfumo wa kuzuia😓😓😓

Unaingia kweny game na mind ya kuzuia kweli katika hii modern football...sawa inatokea marachache sana unatoboa kama Saudi arabia alivyotoboa kwa bingwa wa dunia lakini safar hua si ya kuaminika