Kabisa mm namuamin chin ya the master ten hag atawaka san akiach uingerez kutun kwingi
Wampe ata mkataba wa mwaka mmoja na yeye
Kwanza hiyo krosi, assist ndoige ya Bissaka
Kwenye mfumo wa kuzuhia bissaka yupo vizur nais atakua ameshajifunza kutokana na makosa
Makosa yapi....Kwenye mfumo wa kuzuhia bissaka yupo vizur nais atakua ameshajifunza kutokana na makosa