Walikutilia shaka! Lakini our Starboy aliwathibitisha kuwa sio sahihi! ni yeye yule wa Dortmund
Sio matokeo mazuri lakini tutaenda tena wakati ujao na tutarekebisha pale tunapokosea
Mashabiki wa United wanatumai kuwa utarejea katika fomu hii hivi karibuni. Karibu tena!!! Nakutakia heri ya nusu ya pili ya msimu.
Undugu wako na Marcus tuliumiss sana
nilifurahi sana kwa jana kama ulivyosema tutaenda tena wikendi Wakati huu tunarudi Manchester na pointi zote tatu.
Tumefurahi kukuona ukirejea mabingwa lakini inabidi tumalize ligi kwa kasi kubwa hakuna kitu zaidi ya watu watatu bora wana hilo akilini tulikata tamaa jana matokeo hayakuwa yetu.
matarajio ya sare nyumbani sio malengo yetu
Siku zote tunajua uwezo wako akini wakati mwingine ilibidi ujipange na kupigana kufikia level hizo tunajivunia kuona maendeleo makubwa KARIBU TENA SANCHOOOO
️