Nawakumbusha Tuliwahi Kumsajili Beki Mmoja Akiitwa Mohamed Ouattara Lakini Tukaishia Kumtukana, Tusubiri Uwanjani Ndio Tuwasifie

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
63
61
25
Dar Es Salaam
Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan.

Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki.

Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia.

Outtara alikuwa na mwili jumba, lakini alikuwa mzito balaa.

Kutokana na hilo simba ikamweka benchi hadi alipoletwa Inonga Bacca kushika nafasi yake.

Leo tumeletewa beki anaitwa Chamou Karaboue kutoka Ivory Coast.

Ni beki mrefu sana, ana nguvu na ni mbabe.

Ila uchezaji wake ni kama yule beki wa Yanga mzanzibar anayeitwa Ninja.Chamou ni zaidi ya Ninja, yeye kumdondosha mtu ndani ya penalt box ni kawaida tu.

Tuombe Mungu
 
Jul 1, 2024
5
1

Uongo
 
Jun 24, 2024
1
0

Kwenye mpira kuna ups and downs so huenda akawa bora zaidi ya inonga na huyo outtara
 
MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
25
3
5
Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan.

Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki.

Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia.

Outtara alikuwa na mwili jumba, lakini alikuwa mzito balaa.

Kutokana na hilo simba ikamweka benchi hadi alipoletwa Inonga Bacca kushika nafasi yake.

Leo tumeletewa beki anaitwa Chamou Karaboue kutoka Ivory Coast.

Ni beki mrefu sana, ana nguvu na ni mbabe.

Ila uchezaji wake ni kama yule beki wa Yanga mzanzibar anayeitwa Ninja.Chamou ni zaidi ya Ninja, yeye kumdondosha mtu ndani ya penalt box ni kawaida t

Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan.

Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki.

Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia.

Outtara alikuwa na mwili jumba, lakini alikuwa mzito balaa.

Kutokana na hilo simba ikamweka benchi hadi alipoletwa Inonga Bacca kushika nafasi yake.

Leo tumeletewa beki anaitwa Chamou Karaboue kutoka Ivory Coast.

Ni beki mrefu sana, ana nguvu na ni mbabe.

Ila uchezaji wake ni kama yule beki wa Yanga mzanzibar anayeitwa Ninja.Chamou ni zaidi ya Ninja, yeye kumdondosha mtu ndani ya penalt box ni kawaida tu.

Tuombe Mungu
Umegeuka mtabiri maana mpaka na faulo umeshaziona
Asante kwa kututahadharisha na kutupa udhaifu wake kolo wajiandae kula 5 kwenye ngao ya JAMII