NETHERLANDS NA ARGENTINA, ROBO FAINALI YENYE KUJIRUDIA.

Capitano

Mgeni
Nov 8, 2022
10
29
5
images (33).jpeg

World Cup hii ya kwanza kwenye ardhi ya mashariki ya kati tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo 1930, je itatoa pia bingwa ambaye hajawahi kubeba kombe hili la dunia?

Tusubiri na tuone.

World Cup hii ambayo ina kauli mbiu ya "Now is All" Yani ikiwa na maana ya "Sasa ni Wote" kweli imedhihirika kauli mbiu hii, maana hata mataifa madogo kisoka yameweka historia mpaka tulipomaliza hatua ya makundi, je wataendelea kuweka historia mpaka mwisho?

Tusubiri na tuone.

World Cup hii ya Qatar imekuwa yenye muelekeo ambao haukupi picha halisi nani atakuwepo kwenye kila hatua ya mashindano haya.

Tusubiri na tuone.

Yuko wapi Germany ambaye ameishia hatua ya makundi, kitu ambacho ni cha kustajaabisha kabisa, maana alikuwa ni moja ya timu iliyotarajiwa kufuzu hatua ya 16 bora mbele ya mataifa madogo kisoka, ambayo ni Japan na Costa Rica.

Kitu cha ajabu ambacho kilitokea kwenye kundi E ni kuona Japan akiongoza kundi hilo akimaliza na alama 6 juu ya mkubwa mwingine wa kundi hilo, mkubwa huyo ni Spain ambaye alimaliza akiwa wa pili na alama 4 kibindoni, sambamba na Germany ambao walishindwa kuvuka hatua hiyo ya makundi.

Tunaelekea kwenye robo fainali, tukiwa tayari tumeshajua mechi mbili za hatua hiyo ambazo ni England dhidi ya France na Netherlands dhidi ya Argentina.

Leo tutaangazia robo fainali ya Netherlands dhidi ya Argentina, robo fainali ambayo ni mechi ya kisasi kwa Argentina, mechi ambayo ni ya historia, na kama ilivyo historia ina tabia ya kujirudia yenyewe.

Mnamo mwaka 1998 kwenye World Cup iliyofanyika nchini France, moja ya mechi kati ya nne za robo fainali ilikutanisha mataifa haya makubwa ya soka duniani yani Argentina na Netherlands, na Netherlands kuibuka na ushindi wa goli 2-1, goli la ushindi likifungwa na Dennis Bergkamp dakika ya 90, goli ambalo lilisababisha kifo cha mwanafunzi wa chuo kikuu huko Buenos Aires baada ya kupata mshtuko.

Je Argentina inayoongozwa na Lionel Messi itawalipia kisasi kina Roberto Ayala, au Cody Gakpo ataendeleza historia iliyowekwa na kina Dennis Bergkamp?

Tusubiri na tuone.

Netherlands wameingia hatua ya makundi bila kupoteza mchezo huku wakishinda michezo miwili dhidi ya USA na wenyeji Qatar, wakitoa sare dhidi ya Ecuador, ambapo Netherlands walimaliza wakiwa na
alama 7, hivyo mpaka sasa naweza kusema Netherlands walipata changamoto kwenye mchezo dhidi ya Ecuador kwenye hatua hiyo ya makundi.

Argentina wao walishtuliwa mapema sana kwenye hatua hiyo ya makundi baada ya kufungwa goli 2-1 na taifa changa tu kwenye ulimwengu wa soka, Saudi Arabia, bila shaka matokeo haya yaliishtua dunia nzima ukiachilia mbali kule Buenos Aires.

Wake up call? Ndio, hii ndio waingereza wanaiita wake up call, yani simu ya kuamsha, Argentina walipata hii simu mapema kabisa kiasi cha kumaliza hatua hiyo ya makundi wakiwa na alama 6, huku wakiifunga Mexico na Poland, hivyo naamini hawatalala tena, swali nalojiuliza hapa kukaa kwao macho watafanikiwa kulibeba kombe la dunia kutoka Doha na kulipeleka Buenos Aires, je mashabiki wa Messi na dua zao zitajibiwa ili La Pulga akamilishe kitabu chake cha historia ya soka la mafanikio ulimwenguni katika ngazi zote, yani klabu na timu ya taifa.

Tusubiri na tuone.
 
Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
View attachment 744

🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
  • Like
Reactions: Capitano

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124

Argentina timu ngumu hatoboi