Mwanzo wa msimu Xhaka alipewa freedom ya kuwa karibu zaidi na box na ilikua kama Arsenal wanacheza na two No. 10s. Since the turn of the year Xhaka kawa restricted ili kucover gaps za Zinchenko ambaye kapewa uhuru zaidi.
Haijalishi tatizo ni kubwa kiasi gani huwa kuna suluhu, dhidi ya goli la chini Everton Arsenal walijitahidi sana ndani ya dakika 30 lakini baadaye walipata suluhu kwa kuchanganya safu ya ulinzi ya Everton kwa kubadili nafasi. Ikiwa huwezi kuwashawishi, wachanganye.

https://twitter.com/JMariotz/status/1631918655066763264/photo/1