Klabu Ya Simba SC Imemuongezea Mkataba Wa Miaka 2 Beki Wake Wa Kimataifa Wa DR Congo Na Klabu Hiyo,Henock Inonga Ambalo Mkataba Huo Utamalizika Mwaka 2025.
Mkataba Wa Awali Wa Mlinzi Bora Wa Msimu Uliopita Wa Ligi Kuu Tanzania Bara Ulikuw Unamalizika June 2023 Na Sasa Atasalia Klabun Hapo Mpaka June 2025.