Kazi ya ukocha ni ngum sana asee, Kocha kapanga kila kitu na wachezaj wake, Lakini makosa ya kiulinzi na kutokuwa wafanisi langoni ndo ikapelekea kupoteza mchezo, Kwa mech ya jana wachezaj wamepambana sana sina cha kuwadai, ila ndo hivyo mpira ndo mchezo wa makosa
To be honest, jana nimeshangazwa na nimesikitika Arsenal kupoteza ule mchezo, Walidominate kila idara, waliposess mpira mara nyingi, hawakutaka city watawale mchezo, weka presha sana Lakini kilichokuja kutokea sio ubora wa city, bali ni makosa ya arsenal ya kiulinz