Nini maoni yako juu ya hizi sheria za Qatar FIFA

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Waarabu wamekua na sheria mbalimbali nyingi kipindi hichi cha kombe la dunia huko Qatar, sheria zimeweka vikwazo vingi kwa wadhamini wakubwa wa Mashindano hayo ya FIFA.

Sepp Blatter aliwahi kutamka hadharani wanajutia kuwapa Qatar Kuwa wenyeji wa Mashindano hayo, kikubwa na sababu hasa ni sheria nyingi zilizowekwa na Waarabu, wakati wa mashindano hayo ya Kombe la dunia FIFA

Nini maoni yako au unahisi inaleta adhari gani kwa wadhamini wakuu wa michuano hiyo?
- Hasara kwa wadhamini?
- Kombe la dunia FIFA kukosa au kupoteza wadhani muhimu.
-Upungufu wa Burudani kwenye michuano hiyo?
- FIFA itapoteza ladha yake au nini??..
Tuongeee hapa mtaani unaonaje?????
 
  • Like
Reactions: JohBwax and jamal

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90

Yaani kama kuna kitu FIFA wanajuta ni kuipeleka World cup Qatar, kikawaida tu wanapoteza wadhamini wengi wakubwa hasa hawa wa vinywaji ni wadhamini muhimu sana na wakubwa FIFA wanajuta sana
 
JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Waarabu wamekua na sheria mbalimbali nyingi kipindi hichi cha kombe la dunia huko Qatar, sheria zimeweka vikwazo vingi kwa wadhamini wakubwa wa Mashindano hayo ya FIFA.

Sepp Blatter aliwahi kutamka hadharani wanajutia kuwapa Qatar Kuwa wenyeji wa Mashindano hayo, kikubwa na sababu hasa ni sheria nyingi zilizowekwa na Waarabu, wakati wa mashindano hayo ya Kombe la dunia FIFA

Nini maoni yako au unahisi inaleta adhari gani kwa wadhamini wakuu wa michuano hiyo?
- Hasara kwa wadhamini?
- Kombe la dunia FIFA kukosa au kupoteza wadhani muhimu.
-Upungufu wa Burudani kwenye michuano hiyo?
- FIFA itapoteza ladha yake au nini??..
Tuongeee hapa mtaani unaonaje?????
Ushoga warabu hawataki hahaha