Waarabu wamekua na sheria mbalimbali nyingi kipindi hichi cha kombe la dunia huko Qatar, sheria zimeweka vikwazo vingi kwa wadhamini wakubwa wa Mashindano hayo ya FIFA.
Sepp Blatter aliwahi kutamka hadharani wanajutia kuwapa Qatar Kuwa wenyeji wa Mashindano hayo, kikubwa na sababu hasa ni sheria nyingi zilizowekwa na Waarabu, wakati wa mashindano hayo ya Kombe la dunia FIFA
Nini maoni yako au unahisi inaleta adhari gani kwa wadhamini wakuu wa michuano hiyo?
- Hasara kwa wadhamini?
- Kombe la dunia FIFA kukosa au kupoteza wadhani muhimu.
-Upungufu wa Burudani kwenye michuano hiyo?
- FIFA itapoteza ladha yake au nini??..
Tuongeee hapa mtaani unaonaje?????