Nini utabiri wako kwenye mechi za leo?

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Saa 12:15 Jioni, Mabingwa watetezj Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakicheza na Coastal Union.

Je, wananchi wataendelea kukusanya alama tatu ama kusimamishwa na wanamangushi?

Ila mapema Saa 10:00 Jioni, Ruvu Shooting watakuwa uwanja wa Uhuru wakiwakaribisha Mtibwa Sugar.

Nini utabiri wako kwenye mechi za leo?
 
  • Like
Reactions: kamakawa

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Saa 12:15 Jioni, Mabingwa watetezj Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakicheza na Coastal Union.

Je, wananchi wataendelea kukusanya alama tatu ama kusimamishwa na wanamangushi?

Ila mapema Saa 10:00 Jioni, Ruvu Shooting watakuwa uwanja wa Uhuru wakiwakaribisha Mtibwa Sugar.

Nini utabiri wako kwenye mechi za leo?
Yanga ushindi
Mtibwa Sugar ushindi