Nitachukia kama Yanga watashiriki kumrubuni Kibu na baadae kumsajili

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili.
Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni.

Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma.

Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa pesa ndefu million 760 Bado anawazingua.

Kama alikuwa hataki angeweka wazi Simba wakatafuta mchezaji mwingine akaenda preseason kujiandaa, kama alivofanya Chama alikwambia mapema wakajua kuziba pengo lake.

Kama Yanga tutamsajili huyu Kibu itakuwa ni maudhi
 
Nashy

Mgeni
Jul 15, 2024
12
3
5
Ssi

Kama Yanga tutamsajili huyu Kibu itakuwa ni maudh
 
Yong imekuwa bro now wanafanya vito kisomi aty