Ntibazonkiza atupwa nje kuelekea Guinea

Feb 7, 2023
61
36
5
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka kesho kuelekea nchini Guinea kwenda kuwakabili wenyeji wao Horoya.
Benchi la ufundi la timu hiyo chini ya kocha wake Robertinho ametaja kikosi cha wachezaji 25 huku jina la kiungo Saidio Ntibazonkiza halipo kwenye kikosi hiko.
Nyota huyo raia wa Burundi amekuwa na mchango mkubwa ndani ya kikosi hiko tangu awasili ndani ya timu hiyo kwa kufunga jumla ya magoli sita.
Kukosekana kwa Ntibazonkiza inaweza likawa pengo kwa Simba kwenye mchezo wao wa jumamosi dhidi ya Horoya?
 

Attachments

  • 20230208_223039.jpg
    20230208_223039.jpg
    1.2 MB · Somwa: 0
  • 20230208_222951.jpg
    20230208_222951.jpg
    1.1 MB · Somwa: 0
  • Like
Reactions: Lukac