“Suala la Try Again kujiuzulu na kumpendekeza MO kuwa Mwenyekiti wa Bodi ni maoni yake binafsi nje na utaratibu wa Kikatiba, Mwenyekiti wa Bodi anachaguliwa na Wajumbe wa bodi kwa kupigiwa kura hivyo tutamchagua Mwenyekiti wa Bodi kwa mujibu wa Katiba”-
“Hakuna wasiwasi wowote wa Wajumbe ambao wameamua kujiuzulu kwasababu wamejipima na wameona wanahitaji changamoto mpya, hivyo Wajumbe wengine watateuliwa upande wa Mwekezaji, waje tuchague Mwenyekiti mpya wa Bodi na tufanye kazi”-