NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Unaweza ukawa ni miongoni mwa wale ambao wamepitwa na kile ambacho amekizungumza Mwekezaji na Rais wa heshima wa Klabu ya Simba Mo DEWJI
Hizi Hapa NUKUU 5 ambazo tumekuwekea Kutoka katika hotuba yake

NUKUU ZA MO DEWJI :

"Sitaacha Simba Leo Wala kesho , Niwaombe wanasimba wenzangu mtulie "

"Nitashirikiana na Viongozi wenzangu kukamilisha mabadiliko ya uongozi wa KLABU yetu ili wanachama wapate umiliki"

"Eneo la Benchi la ufundi halikuwa zuri , imepelekea kuondoa falsafa yetu ya PIRA BIRIANI , Tutalisuka upya Benchi la ufundi "

"Klabu yetu ipo kwenye kufanya Usajili , Pre season , Simba Day , Ngao Ya Jamii , Niwaombe sana Wana Simba wenzangu mtulie mtupe nafasi ya kujenga Simba mpya , yenye matarajio na mabadiliko ili Kila Mwanasimba atembee kifua Mbele, wanasimba tunatakiwa kuwa kitu kimoja "

"Tutafanya uwekezaji wa miundombinu inayofanana na hadhi ya Klabu yetu ya Simba SC kwenye viwanja vyetu vya Bunju"
 
  • Like
Reactions: Revinard mkurasi

Sereweji

Mgeni
May 29, 2024
5
3
5
Maneno ndoo hayo hayo kila msimu hana jipya ila usimkatie mtuu tusubiri pre seasons tuone simba itakavyokuwa ni suala la mudaa tuuuu
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Sereweji

Mgeni
May 29, 2024
5
3
5
Maneno ndoo hayo hayo kila msimu hana jipya ila usimkatie mtuu tamaa tusubiri pre seasons tuone simba itakavyokuwa ni suala la mudaa tuuuu
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Jun 12, 2024
1
1
5
𝘂𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗺𝘇𝗮𝗹𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗵𝘂𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗶𝗸𝗮𝘁𝗶𝗮 𝘁𝗮𝗺𝗮𝗮 𝘁𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗽𝗲𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗮𝗻𝗴𝘂𝗸𝗮,𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶 𝗻𝗶 𝘁𝗲𝗮𝗺 𝗻𝗴𝗮𝗽𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝘃𝗶𝗯𝗮𝘆𝗮? 𝘀𝗶𝗺𝗯𝗮 𝘀𝗶𝘆𝗼 𝘆𝗮𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗵𝗶𝘆𝗼 𝗠𝗼 𝗗𝗘𝗪𝗝𝗜 𝗮𝗻𝗮 𝗯𝗿𝗶𝗴𝗵𝘁 𝗳𝘂𝘁𝘂𝗿𝗲 𝗻𝗮 @𝘀𝗶𝗺𝗯𝗮𝘀𝗽𝗼𝗿𝘁 𝗺𝘂𝗮𝗰𝗵𝗲𝗻𝗶 𝗮𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗲 𝗸𝘂𝘀𝗵𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗸𝗼𝗻𝗼 𝘁𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗲.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

joshy

Mgeni
Jun 12, 2024
3
1
5
Unaweza ukawa ni miongoni mwa wale ambao wamepitwa na kile ambacho amekizungumza Mwekezaji na Rais wa heshima wa Klabu ya Simba Mo DEWJI
Hizi Hapa NUKUU 5 ambazo tumekuwekea Kutoka katika hotuba yake

NUKUU ZA MO DEWJI :

"Sitaacha Simba Leo Wala kesho , Niwaombe wanasimba wenzangu mtulie "

"Nitashirikiana na Viongozi wenzangu kukamilisha mabadiliko ya uongozi wa KLABU yetu ili wanachama wapate umiliki"

"Eneo la Benchi la ufundi halikuwa zuri , imepelekea kuondoa falsafa yetu ya PIRA BIRIANI , Tutalisuka upya Benchi la ufundi "

"Klabu yetu ipo kwenye kufanya Usajili , Pre season , Simba Day , Ngao Ya Jamii , Niwaombe sana Wana Simba wenzangu mtulie mtupe nafasi ya kujenga Simba mpya , yenye matarajio na mabadiliko ili Kila Mwanasimb noa atembee kifua Mbele, wanasimba tunatakiwa kuwa kitu kimoja "

"Tutafanya uwekezaji wa miundombinu inayofanana na hadhi ya Klabu yetu ya Simba SC kwenye viwanja vyetu vya Bunju"
Tajir ameamua kuwa serious Sasa hakika kuna sehemu atatupeleka
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Lukman Ali

Mgeni
May 17, 2024
5
3
5
Mbona hapo sijaona jipya ndo hayo hayo ya kila siku mi kwa ushauri wangu ningeomba ktk safu ya uongozi arudishwe Haji Sanday Manara kwa hakika Manara alikuwa na sifa flani ktk club ya SIMBA
 
  • Like
Reactions: Kijiweni