Okrah Ndio Basi Tena Yanga

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Imeripotiwa Waghana wamefungua milango kwa winga huyo aliyefanya vizuri akiwa na timu hiyo kabla ya kurejea Tanzania wakati wa dirisha dogo, awali aliichezea Simba.

Okrah Magic alisajiliwa na Yanga kipindi cha dirisha dogo, na kutambulishwa kwa staili ya aina yake akiwa kafunikwa kitu maalum na kuoneshwa katika uwanja wa New Amaan Zanzibar.

Amehudumu katika ya Yanga kwa miezi 6 tu, na mechi alizocheza akiwa na klabu ya wananchi Yanga, takribani mechi 4 za Ligi na moja ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

Kwa taarifa za ndani ya Yanga zinasema kwamba, nyota huyo Raia wa Ghana hatukuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao 2024/25, hivyo taratibu za kumpa mkono wa kwaheri zinafanyika.
 
Jun 11, 2024
5
1

Kwa taarifa za ndani ya Yanga zinasema kwamba, nyota huyo Raia wa Ghana hatukuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao 2024/25, hivyo taratibu za kumpa mkono wa kwaheri zinafanyika
Wamuache aendelee kukimbia 🏃😂
 
avitus

Mgeni
Jun 13, 2024
2
1
5
Imeripotiwa Waghana wamefungua milango kwa winga huyo aliyefanya vizuri akiwa na timu hiyo kabla ya kurejea Tanzania wakati wa dirisha dogo, awali aliichezea Simba.

Okrah Magic alisajiliwa na Yanga kipindi cha dirisha dogo, na kutambulishwa kwa staili ya aina yake akiwa kafunikwa kitu maalum na kuoneshwa katika uwanja wa New Amaan Zanzibar.

Amehudumu katika ya Yanga kwa miezi 6 tu, na mechi alizocheza akiwa na klabu ya wananchi Yanga, takribani mechi 4 za Ligi na moja ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

Kwa taarifa za ndani ya Yanga zinasema kwamba, nyota huyo Raia wa Ghana hatukuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao 2024/25, hivyo taratibu za kumpa mkono wa kwaheri zinafanyika.
Tutamic mabio yake🤝