Orodha ya makampuni ya betting Tanzania.

tototundu

Kaka Mkubwa
Nov 26, 2021
23
25
6
Aje aje wana kijiwe?
Tanzania kumekuwa na ongezeko la makampuni mengi ya betting. Makampuni haya yapo yanayofanya kazi mtandaoni, na yale ya vibanda mkeka wa karatasi mrefuuuu kama korido ya Muhimbili. Sasa hapa nimeweka makampuni ya hapa Bongo, ongeza nililosahau wadau walijaribu.

1. Playmaster Tanzania
2. 22Bet
3. 1XBET
4. MERIDIAN BET
5. Pigabet
6. PrimierBet
7. BetPawa
8. SPORT PESA
9. WINPRINCES
10. M.Bet
11. Mkeka Beti
12. Princess Bet
13. Parmarch tz
14. Sokabet
15. Mcheza
16. Tbet
17. Bikospoti
19. Princessbet
20.Galspot
21. Bingwabet
22. Mojabet
23 . Betx
24.bet