Pamba Jiji Vs Simba SC | Panga Kikosi Chako Hapa | Tabiri Idadi Ya Magoli Mchezo Wa Leo

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
485
641
125
Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.

Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Panga Kikosi Chako Hapa | Tabiri Idadi Ya Magoli Mchezo Wa Leo
 

WZR

Mgeni
Oct 25, 2024
8
5
5
Kumbe ina wakela simba tuta ongoza ligi mpaka mwisho saau simba kufungwa pamba 0-5 simba
 

joph tz

Mpiga Chabo
Nov 14, 2024
3
0
0
Simba today we beat someone starting from three gori and continue not going down, you will tell together my sons