Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Panga Kikosi Chako Hapa | Tabiri Idadi Ya Magoli Mchezo Wa Leo