Panga Kikosi Cha Kumfunga Mtani Wako Kwa Mkapa Mchezo Wa Ngao Ya Jamii

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Kumbuka kuwa hii ni ngao ya jamii na mchezo huu ni lazima mmoja aende Fainali ambapo atakutana na bingwa kati ya Azam Fc vs Coastal Union.

Panga Kikosi Chako Hapa Cha Kumfunga Mtani Wako Kwa Mkapa.
 
  • Like
Reactions: gg_fam

sencha 118

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
2
0
0
1.diara
2.yao kwas
3.boka
4 .job
5.bacca
6.football doctor
7.clement
8.talented abuya
9.mpumelelo prince
10.wagadugu monster
11.pacome
 
uchebe04

Mgeni
Aug 7, 2024
2
2
5
1.camara
2.kelvin kijiri
3.Tshabalala
4.chemalon
5.chamou
6.okejepha
7.SGR Mutale
8.deborah Fernandez
9.Mukwala
10.Ahoua
11.Kibu Denis
 
  • Like
Reactions: Wistabby

uchebe04

Mgeni
Aug 7, 2024
2
2
5
1.camara
2.kelvin kijiri
3.Tshabalala
4.chemalon
5.chamou
6.okejepha
7.SGR Mutale
8.deborah Fernandez
9.Mukwala
10.Ahoua
11.Kibu Denis
 
  • Like
Reactions: GUDIBOY

sonwabo18

Mpiga Chabo
Aug 7, 2024
7
0
0
Camara
kijili
m.hussein
malone
karaboue
okejepha
fernandez
mutale
Ahoua
kibu[faus nine]
balua
mutale
 
Thomas YANGA

Mpiga Chabo
Aug 7, 2024
2
0
0
Ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Kumbuka kuwa hii ni ngao ya jamii na mchezo huu ni lazima mmoja aende Fainali ambapo atakutana na bingwa kati ya Azam Fc vs Coastal Union.

Panga Kikosi Chako Hapa Cha Kumfunga Mtani Wako Kwa Mkapa.
1.Diarra
2.Boka
3.kwasi yao
4.Copple Bacca
5.The shark(Job)
6.Doctor (Aucho)
7.Mpia Nzengeli
8.Duke Abuya
9.Prince Dube
10.Master Ki
11.Zouzoua
Coach:MIGUEL GAMONDI(MASTER MIND)

NYIE HAMUOGOPI!!??

NB:Wasipoleta timu bunju tunapajua.
 
Seleman1605

Mpiga Chabo
Aug 7, 2024
1
0
0
Ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Kumbuka kuwa hii ni ngao ya jamii na mchezo huu ni lazima mmoja aende Fainali ambapo atakutana na bingwa kati ya Azam Fc vs Coastal Union.

Panga Kikosi Chako Hapa Cha Kumfunga Mtani Wako Kwa Mkapa.
1:DIARA
2:BHOKA
3:YAO KWASI
4:BAKA
5:JOB
6:AUCHO
7:pACOME
8:ABUYA DUKE
9:pRINCE DUBE
10:AZIZI K
11:MZIZE