Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025
Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.
Kaa hapahapa KIJIWENI tutakupa taarifa zote kuhusu SIMBA DAY.