Panga Kikosi Chako Leo SIMBA SC vs KMC | Mechi Itakua Na Magoli Mangapi Na Nani Atashinda?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
564
727
125
Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo leo Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC mchezo ambao utapigwa majira ya saa 10 za jioni.

Simba wako nafasi ya 3 ambapo kwenye mechi 9 wana alama 22 huku KMC FC wakiwa nafasi ya 6 wakicheza michezo 10 na alama 14

Panga Kikosi Chako Leo SIMBA SC vs KMC | Mechi Itakua Na Magoli Mangapi Na Nani Atashinda?
 
D.I.O.F

Mgeni
Jul 12, 2024
9
6
5
1. Spider
2. Kapombe
3. Tshabalala
4. Chamoue
5. Che malone
6. Deborah
7. Mutale
8. Ngoma
9. Mukwala
10. Awesu
11. Kibu
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Nov 6, 2024
1
1
5
1. Camara
2. Kapombe
3. Mo hussein
4. Abdulrazak {spear}
5. Che malone fondoh
6. Kagoma
7. Kibu D
8. Disconnectorâš¡
9. Ateba
10. Captain lucho
11. Ahoua✅
Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo leo Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC mchezo ambao utapigwa majira ya saa 10 za jioni.

Simba wako nafasi ya 3 ambapo kwenye mechi 9 wana alama 22 huku KMC FC wakiwa nafasi ya 6 wakicheza michezo 10 na alama 14

Panga Kikosi Chako Leo SIMBA SC vs KMC | Mechi Itakua Na Magoli Mangapi Na Nani Atashinda?
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

ukashizzle

1: Pinpin camara
2: Kapombe
3: Mohamed Hussein
4: Chamou
5: Che Malone
6: Ngoma
7: Kibu
8: Fernandes
9: Ateba
10: Ahoua
11: Chasambi

angapi Na Nani Atashinda?
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

ENS

Mgeni
Aug 8, 2024
5
1
5
Mwanza
1. Camara
2. Kapombe
3. Nouma
4. Chamou
5. Fondoh
6. Okejepha
7. Mkwala
8. Fernandez
9. Ateba
10. Ahoua
11. Kibu

Sub:
Salim
Zimbwe
Hamza
Ngoma
Mzamiru
Chasambi
Awesu
Barua
 
  • Like
Reactions: Kijiweni