Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini?

1. Simba bado haijapata strikers wa uhakika

2. Ligi ya NBC imeimalika sana, timu nyingi kwasasa zipo vizuri sana, kwa kikosi Cha Simba kuchukua mataji, bado sana

3. Kocha Davids hana uwezo wa kubadili mchezo, rejea subs alizozifanya jana

4. Team ya Simba inapambwa sana kuliko uhalisia, nahii inachangiwa na msemaji wao Ahmed Ally, anawafanya wana Simba waione timu Yao ya tofauti saaaana, kumbe ni ileile. Inatakiwa Simba iendelee kutazamwa katika level za kawaida ili iongeze bidii.

5. Simba haina beki ya kuzuia washambuliaji makini. Hussein, kapombe, chemalon na wengine wote, ni beki za kawaida sana.

Baadae mtanielewa maana kwasasa hamuwezi kuyaona haya wanasimba
 
  • Like
Reactions: erenestmaiko354

Nashy

Mgeni
Jul 15, 2024
12
3
5
Wanaweza chukua ubingwa mana timu yao bado haina bond nzuri ivyo timu ikiwa kwenye mfumo namini watapiga⚽
 
anoumous

Mgeni
Aug 3, 2024
2
2
5
Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini?

1. Simba bado haijapata strikers wa uhakika

2. Ligi ya NBC imeimalika sana, timu nyingi kwasasa zipo vizuri sana, kwa kikosi Cha Simba kuchukua mataji, bado sana

3. Kocha Davids hana uwezo wa kubadili mchezo, rejea subs alizozifanya jana

4. Team ya Simba inapambwa sana kuliko uhalisia, nahii inachangiwa na msemaji wao Ahmed Ally, anawafanya wana Simba waione timu Yao ya tofauti saaaana, kumbe ni ileile. Inatakiwa Simba iendelee kutazamwa katika level za kawaida ili iongeze bidii.

5. Simba haina beki ya kuzuia washambuliaji makini. Hussein, kapombe, chemalon na wengine wote, ni beki za kawaida sana.

Baadae mtanielewa maana kwasasa hamuwezi kuyaona haya wanasimba
acha fitna na uongo timu ni nzuri sana,. inamabeki wazuri sana, timu ina wiki nne tu kwenye pre season na imekutana na mechi ngumu kama ya yanga hivi ww ulitaka iweje wachezaji wooote wageni. 14 kocha mgeni acheni ujuaji. wenu bwana,. kocha na wachezaji wote wa simba wanatakiwa kupewa muda kuzoeana na ukiiangalia timu haina muda mrefu sana. wa kuwa nzuri zaidi
 
van dee

Mgeni
Jun 22, 2024
7
4
5
Katika msimu ambao Simba hata poteza game hata moja ni huu hapa.✍️.
Beki ambazo Nina wasiwasi nazo labda kapombe na inspector maana Hana speed ya kurudi kwa Kasi..lakini kuhusu kikosi kipo vizuri sana sema mawasiliano Haina ya wachezaji haujakaa vizuri
 
Saleh

Mpiga Chabo
Jul 17, 2024
3
0
0
acha fitna na uongo timu ni nzuri sana,. inamabeki wazuri sana, timu ina wiki nne tu kwenye pre season na imekutana na mechi ngumu kama ya yanga hivi ww ulitaka iweje wachezaji wooote wageni. 14 kocha mgeni acheni ujuaji. wenu bwana,. kocha na wachezaji wote wa simba wanatakiwa kupewa muda kuzoeana na ukiiangalia timu haina muda mrefu sana. wa kuwa nzuri zaidi
Wewe unaakili kuliko hao wanaoshabikia timu kwa kurisishwa na ukoo sio kuangalia mchezo😊
 
Shekhan

Mpiga Chabo
Jun 22, 2024
5
1
0
Hatutaki baadae uje kutuletea makala ndefu kukisifia kikosi cha simba
Ni suala la mda
Maana timu ni mpya ni ndio kwanza ina wiki nne
Acheni ujuaji na ukweli usemwe
Naiona simba ikifika mbali sana pindi itakapopata mechi kadhaa za mashindano🦁
 
woundedbeast

Mpiga Chabo
Jul 18, 2024
4
0
0
Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini?

1. Simba bado haijapata strikers wa uhakika

2. Ligi ya NBC imeimalika sana, timu nyingi kwasasa zipo vizuri sana, kwa kikosi Cha Simba kuchukua mataji, bado sana

3. Kocha Davids hana uwezo wa kubadili mchezo, rejea subs alizozifanya jana

4. Team ya Simba inapambwa sana kuliko uhalisia, nahii inachangiwa na msemaji wao Ahmed Ally, anawafanya wana Simba waione timu Yao ya tofauti saaaana, kumbe ni ileile. Inatakiwa Simba iendelee kutazamwa katika level za kawaida ili iongeze bidii.

5. Simba haina beki ya kuzuia washambuliaji makini. Hussein, kapombe, chemalon na wengine wote, ni beki za kawaida sana.

Baadae mtanielewa maana kwasasa hamuwezi kuyaona haya wanasimba
Simba imecheza mpira msafi japo kuna makosa yalifanyika ambayo tunaita ni hali ya mchezo bado vijana wanahitaji nafasi nyingi
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Tuwape mda,,,wafanyie kazi makosa walioona kwenye mechi ya APR na ya Yanga.Watafanya vizuri wakubali critics na kuzifanyia kazi.
 
Golden

Mgeni
Aug 8, 2024
3
2
5
Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini?

1. Simba bado haijapata strikers wa uhakika

2. Ligi ya NBC imeimalika sana, timu nyingi kwasasa zipo vizuri sana, kwa kikosi Cha Simba kuchukua mataji, bado sana

3. Kocha Davids hana uwezo wa kubadili mchezo, rejea subs alizozifanya jana

4. Team ya Simba inapambwa sana kuliko uhalisia, nahii inachangiwa na msemaji wao Ahmed Ally, anawafanya wana Simba waione timu Yao ya tofauti saaaana, kumbe ni ileile. Inatakiwa Simba iendelee kutazamwa katika level za kawaida ili iongeze bidii.

5. Simba haina beki ya kuzuia washambuliaji makini. Hussein, kapombe, chemalon na wengine wote, ni beki za kawaida sana.

Baadae mtanielewa maana kwasasa hamuwezi kuyaona haya wanasimba
Kila mtu ana maoni na mtazamo wake ,, hatuwezi kupinga maoni au mtazamo wako ,, na sisi pia tuna mtazamo wetu ,, kitakachokuja kutupa majibu ni Nani na Nini alichovuna mwisho wa ligi ,, hapa ni Kama tupo kwenye chumba Cha mtihani usitake kutuaminisha majibu yako ndyo yatatufanya sisi tufaulu mtihani hapana ,, nadhani kila mmoja ana mtazamo wake ila kwa upande wangu Mimi " tatizo la Simba kwanza tuongeze nguvu eneo la mabeki Jana tumeadhibiwa kwa uzembe mdogo wa mabeki kingine striker wa kusaidiana na mukwala koublan bado Sana " Ni hayo tu
 
  • Like
Reactions: Mzury

HfWallace

Mgeni
Aug 8, 2024
2
1
5
Kuna mda wakutumika hisia na mda wakuangalia uhalisia kwa nilichokiona Simba wanajitahidi na zipo sajili walizofanya zimeonesha kuwa nzuri japo zinahitaji muda mukwale,Debora,Camara goal keep , disconnector wanajitahidi wanajitahidi mda ila unapoongelea timu ni mjumuiko wa ubora katika sehemu tofauti tofauti za kiufundi ivyo kwa Simba maeneo mengine bado yanachangamoto ushambuliaji, eneo la midfield ukilinganisha na yanga wao timu ni ile ile ko wao sio tatizo Sana kuanza msimu huu mnyonge mnyongeni yanga Wana timu Bora kwa Sasa Wana Simba tukubali tu 😁 na ubaya timu nyingine zimesajili pia singida black stars Azam ,kmc ko shida ipo mahali @ Wallace
 
  • Like
Reactions: Mzury

Mzury

Mpiga Chabo
Aug 10, 2024
2
0
0
H8lo nalo memo acha fitna na uongo timu ni nzuri sana,. inamabeki wazuri sana, timu ina wiki nne tu kwenye pre season na imekutana na mechi ngumu kama ya yanga hivi ww ulitaka iweje wachezaji wooote wageni. 14 kocha mgeni acheni ujuaji. wenu bwana,. kocha na wachezaji wote wa simba wanatakiwa kupewa muda kuzoeana na ukiiangalia timu haina muda mrefu sana. wa kuwa nzuri zaidi
Hilo nalo neno👈
 
willymsak

Mpiga Chabo
Aug 11, 2024
2
0
0
kweli kazi simba ipo maana kunashabik na mjua mpira ukweli nikwamba simba bado sana watakuja kukaa sawa ndio ila kwakuchelewa sana mkisema kujitafuta mnakosea wale niwachezaji mjue wametoka kwenye timu nzuri wote kwenye soka hakuna ugeni mchezaji bora ni bora tu mbona ukweli simba bado wafungaji simba hakuna mkubali mkatae uwo ndio ukweli najuwa wabishi wajuaji wenye mapenzi ya ushabiki wapo na watakataa tu bado unapo sema timu ninzuri halafu akupi matokeo bado auna tim