Picha linajieleza

Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24
5
Hii mechi naomba niirudie vizuri tena maana nilikuwa naangalia game ya Arsenal Vs Newcastle

Lakini nawakumbusha tu

1: Marcus Rashford kaweka kambani mechi ya 4 mfululizo

2: Christian Eriksen ana assists 6 kazidiwa na kinara wa Assists KDB mwenye 9

3: David De Gea sasa hivi anavuna tu clean sheets anazo 8 kazidiwa na kinara wa Clean sheets Nick Pope mwenye 10

4: Man United wameshinda mechi 8 mfululizo katika mashindano yote tangu mara ya mwisho kufungwa na Aston Villa

5: Casemiro ni shilingi 6 lakini kaweka kambani magoli mawili na asisst juu mpaka sasa

6: KILICHOBAKI NI KUINGIA SOKONI KULETA STRIKE😀 View attachment 1004
wamoto san tukipata streika njaa zile chance anazochezea martial ziwe kamba aah mbn mbio za ubingwa tupo
 
Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Hii mechi naomba niirudie vizuri tena maana nilikuwa naangalia game ya Arsenal Vs Newcastle

Lakini nawakumbusha tu

1: Marcus Rashford kaweka kambani mechi ya 4 mfululizo

2: Christian Eriksen ana assists 6 kazidiwa na kinara wa Assists KDB mwenye 9

3: David De Gea sasa hivi anavuna tu clean sheets anazo 8 kazidiwa na kinara wa Clean sheets Nick Pope mwenye 10

4: Man United wameshinda mechi 8 mfululizo katika mashindano yote tangu mara ya mwisho kufungwa na Aston Villa

5: Casemiro ni shilingi 6 lakini kaweka kambani magoli mawili na asisst juu mpaka sasa

6: KILICHOBAKI NI KUINGIA SOKONI KULETA STRIKE😀 View attachment 1004
Ambangile
 
Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120

De gea aliokoa sana
 
Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124

Tangu warejee kutoka kombe la dunia mechi tatu points 9 goli 7 cleansheet 3. Safi kabisa hii