Hii mechi naomba niirudie vizuri tena maana nilikuwa naangalia game ya Arsenal Vs Newcastle
Lakini nawakumbusha tu
1: Marcus Rashford kaweka kambani mechi ya 4 mfululizo
2: Christian Eriksen ana assists 6 kazidiwa na kinara wa Assists KDB mwenye 9
3: David De Gea sasa hivi anavuna tu clean sheets anazo 8 kazidiwa na kinara wa Clean sheets Nick Pope mwenye 10
4: Man United wameshinda mechi 8 mfululizo katika mashindano yote tangu mara ya mwisho kufungwa na Aston Villa
5: Casemiro ni shilingi 6 lakini kaweka kambani magoli mawili na asisst juu mpaka sasa
6: KILICHOBAKI NI KUINGIA SOKONI KULETA STRIKE
View attachment 1004