Marcus Rashford alifunga katika mchezo wake wa nane mfululizo wa nyumbani Jumanne jioni, sawa na kile kilichofikiwa awali na gwiji wa Reds, Wayne Rooney.
Rashford aliingia akitokea benchi katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Charlton Athletic, akifunga bao la dakika za lala salama na kuisaidia United kutinga nusu fainali ya Kombe la Carabao.
Mabao yake, yote mawili dakika za lala salama, yanamaanisha kuwa nambari 10 wetu wa sasa amefunga kwa namna ya kuvutia katika kila mechi nane alizocheza Old Trafford, ikilingana na bao lililokamilishwa mara ya mwisho na Rooney kati ya Januari na Machi 2010.
Rashford amevunja rekodi ya Rooney kwa kufunga mechi 8 mfululizo Old Trafford baada ya mabao 2 aliyofunga katika ushindi wa mabao 3-0 kwenye mechi ya Carabao Cup kati ya Manchester United dhidi ya Charlton Athletic.
Rashford kwasasa amefikisha mabao 15 katika michuano yote msimu huu.