Levvy Luis Enrique si kocha tena wa timu ya taifa ya Uhispania Luis Enrique sio kocha wa Uhispania tena! Uamuzi huo ulichukuliwa na viongozi wa Shirikisho la Uhispania, Luis Rubiales na José Francisco Molina, Alhamisi hii.
HATOENDELEA na nafasi yake kama kocha mkuu wa Uhispania baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penalti na Morocco katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2022.

HATOENDELEA na nafasi yake kama kocha mkuu wa Uhispania baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penalti na Morocco katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2022.