Ratiba imewageukia wenyewe😀

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Akiwa anaongoza kwa tofauti ya alama (6) kileleni mwa msimamo, Yanga atacheza mechi (1) pekee katika mechi (10) zijazo za ligi kuu nje ya dimba la Mkapa 👁️

▪️Azam fc - Mkapa
⭕ Mtibwa sugar - Manungu
▪️Ihefu - Mkapa stadium
▪️Ruvu shooting - Mkapa
▪️Namungo - Mkapa
▪️Simba sc - Mkapa
▪️KMC - Mkapa
▪️Geita gold - Mkapa
▪️Dodoma jiji - Mkapa
▪️Kagera sugar - Mkapa

Mechi (13) zimesalia.

Walipanga kuichosha Yanga na mechi za Mikoani, sasa tumeshazimaliza imekula kwao, tupo zetu kwa mkapaaaaa round ya pili tunagonga popcorn 🍿
 
  • Like
Reactions: sharon